Hali ya jua na ukavu kuzidi kushudiwa Marsabit na sehemu nyingi za nchi
January 7, 2025
By Waihenya Isaac
Jamaa za waadhiriwa wa mkasa wa mauaji ya Wagala kaunti Wajir bado wanadai haki miaka 37 baada ya unyama huo kufanyika.
Wakizungumza jiji Nairobi Katika maadhimisho ya kukumbuka siku ilipotokea mauaji hayo,Jamii ya Degodia ameitaka serekali kuwalipa fidia waadhiriwa kama ilivyopendekezwa na Ripoti ya Kweli haki na maridhiano TJRC.
Wamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati ili kuharakisha zoezi la kuwafidia waadhiriwa hao ambao wametaja kuwa limechukua kipindi kirefu kutekelezwa.
Mauaji hayo yalifanyika Katika uwanja mdogo wa ndege wa Degodia Ambapo wanaume wa jamii ya Degodia walikusanywa na kuwekwa kwenye jua kali bila maji wala chakula kwa siku kadhaa.