Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
By Samson Guyo & Grace Gumato
Serekali imetenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ili kujenga Barabara kuu ya Marsabit-Shegel ikiwa ni mpango wa kutengeza barabara kuu kutoka Marsabit kuelekea Northhorr.
Akizungumza na shajara ya radio jangwani mhandisi mkuu wa mradi huo Joel wairua ameelezea kuwa awamu hiyo ya kwanza inalenga kuinua hadhi ya barabara hiyo ambayo kufikia sasa asilimia 6 imekamilika.
Aidha Wairua ameelezea changamoto wanazokumbana nazo katika ujenzi wa barabara hiyo ikiwemo vijana kufunga barabara kwa madai ya kutopewa ajira.
Wairua amewarai wakaazi kutopinga mradi wa ujenzi wa barabara kwani ni kwa manufaa ya wenyeji huku akitaja kuwa vijana wasio na ajira na wana ujuzi watapata nafasi za kazi katika mradi huo.