Wito watolewa kuboresha mazingira ya elimu kwa wanafunzi, Marsabit
Na JB Nateleng Wito umetolewa kwa serikali ya kitaifa, serikali ya kaunti ya Marsabit na…
Ukeketaji, ndoa za utotoni na mimba za mapema bado tishio kwa watoto Marsabit, asema kamishna.
Na Samuel Kosgei KAMISHNA wa Kaunti ya Marsabit, Stanley Kamande, amezitaka jamii za eneo hili…
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani Marsabit
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani kwenye barabara kuu ya…
Miti milioni 30 kupandwa Badhauri kukuza uhifadhi wa mazingira
Msimamizi mkuu wa misitu katika kaunti ya Marsabit, Kenneth Muthuri, amesema idara yake kwa ushirikiano…
Wazazi Marsabit wahimizwa kuimarisha malezi ili kukabiliana na utovu wa nidhamu shuleni
Na Sabalua Moses Huku wimbi la vurugu likiendelea kushuhudiwa katika shule mbalimbali nchini, wazazi katika kaunti…
Wanasiasa Marsabit watakiwa kuendesha siasa za amani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027
Na Caroline Waforo Wanasiasa wanaowania nyadhifa mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027…
Wakazi wa Saku walalamikia uhaba wa maji
Na JB Nateleng Wakazi wa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wameitaka kampuni ya…
Matumizi ya bidhaa za tumbaku yaongezeka miongoni mwa wanafunzi Marsabit
Na JB Nateleng Matumizi ya bidhaa za tumbaku miongoni mwa wanafunzi katika Kaunti ya Marsabit…
Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi (NCTC) kimetoa wito kwa viongozi Marsabit kuepuka kuchochea migogoro inayoweza kutumiwa na makundi ya kigaidi.
Na Silvio Nangori Viongozi katika Kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na kutumia wananchi katika kuchochea…
Ukosefu wa ushahidi watajwa kuangusha kesi za dhuluma Marsabit.
Mashahidi kutoka upande wa waathiriwa wanapaswa kujitokeza mahakamani ili kusaidia upatikanaji wa haki katika kesi…
KWS yahimiza wananchi kuepuka uharibifu wa uzio wa mbuga ya wanyamapori ya Marsabit.
Na Caroline Waforo Wakaazi walio karibu na mbuga ya wanyamapori ya Marsabit wamehimizwa kujiepusha na…
wakazi wa Kaunti ya Marsabit wapinga mapendekezo ya kufungwa kwa shule za bweni nchini
Na Abdiaziz Yusuf Wakati mjadala kuhusu mustakabali wa shule za bweni ukiendelea nchini kufuatia visa…