Author: Editor

WAFUGAJI WAHAMASISHWA KUHUSU ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA.

  Jamii za kaunti ya Marsabit zimehamasishwa kuhusu jinsi ya kujipanga na kupunguza makali ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mafunzo hayo kwa wafugaji yamefadhiliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la CRDD linaloshughulikia umuhimu wa rasilimali na changamoto wanazopitia jamii ya wafugaji. Akizungumza katika hafla hiyo, Rose Orguba ambaye ni[Read More…]

Read More

VIJANA MARSABIT WATAKIWA KUASI MCHEZO WA KAMARI.

Wakaazi wa Marsabit wametahadharishwa kuhusu hatari za mchezo wa kamari, ambao umeanza kuathiri maisha ya vijana na hata uhusiano wa ndoa katika jamii. Akizungumza na idhaa hii, Sheikh Mohamed Nur, kiongozi wa kidini katika msikiti wa Jamia kaunti ya Marsabit, amesisitiza kwamba kamari ni haramu katika dini na kwamba ni[Read More…]

Read More

ULIMWENGU WAADHIMISHA SIKU YA WALEMAVU JANA,HUKU WITO WA KUWAPELEKA WATOTO WALEMAVU SHULENI UKISHEHENI…

Ulimwengu waadhimisha siku ya walemavu jana,huku wito wa kuwapeleka watoto walemavu shuleni ukisheheni… Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwapeleka wanao shuleni punde tu shule zitakapofunguliwa kwa muhula wa kwanza mwaka ujao wa 2025 Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ndogo ya Bubisa katika kaunti ya Marsabit Jillo[Read More…]

Read More

KAUNTI YA MARSABIT YALENGA KUHAKIKISHA SHERIA YA KUWALINDA WALEMAVU IMEBUNIWA KUFIKIA MWISHONI MWA MWAKA WA 2025.

Serekali ya kaunti ya Marsabit inalenga kuhakikisha kwamba sheria ya kuwalinda walemavu imebuniwa kufikia mwishoni mwa mwaka ujao wa 2025. Haya yamewekwa wazi na waziri wa idara ya jinsia na utamaduni katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha siku ya walemavu ulimwenguni hii leo iliyandaliwa katika[Read More…]

Read More

NCCK TAWI LA MARSABIT YAWARAI WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UPENDO

Baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Marsabit limetoa wito kwa Wakenya kudumisha Amani na upendo. Kwenye arafa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kusomwa na mwenyekiti wa kanisa la PCEA mjini Marsabit Elijah Kamitha, NCCK imetoa wito kwa wananchi kukumbatia Amani sawa na maelewano ili kueneza upendo katika jamii. Baraza hilo[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter