Author: Editor

WANAHABARI MARSABIT WAKEMEA MASHAMBULIZI YA MAAFISA WA POLISI DHIDI YA WAANDISHI WA HABARI

Na Samuel Kosgei Muungano wa waandishi wa habari kaunti ya Marsabit wamejiunga na wenzao kote nchini kushutumu dhulma na mashambulizi ya polisi dhidi ya waandishi wa habari wanaopeperusha taarifa. Mwenyekiti wa muungano huo wa wanahabari Michael Kwena akizungumza na meza yetu ya habari amesema kuwa wanahabari wa hapa Marsabit wanasimama[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATAKIWA KUPUUZA PROPAGANDA ZINAZOENEZWA KUHUSIANA NA MAISHA CARD…

Na Caroline Waforo Huku serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu uhalali na muda wa matumizi wa vitambulisho vya kidigitali Maisha Card, wakaazi wa Kaunti ya Marsabit wametakiwa kupuuza propaganda zinazoenezwa kuhusiana na uhalali na muda wa vitambulisho hivyo. Akizungumza na Shajara afisini mwake afisa wa usajili jimboni Marsabit Michael Oduor ameweka[Read More…]

Read More

SENETA MOHAMED CHUTE ASEMA YUKO TAYARI KUJIUZULU IWAPO TUME YA EACC ITAMPATA NA MAKOSSA

Na Samuel Kosgei SENETA wa Marsabit Mohamed Chute amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC itaweza kudhibitisha kuwa alipokea malipo ya shilingi milioni 365 kama ilivyodaiwa wiki jana. Seneta Chute akizungumza na idhaa hii kwenye kipindi cha Amkia Jangwani asubuhi ya Jumatano amesema kuwa yeye hakukamatwa[Read More…]

Read More

IDARA YA WATOTO MOYALE NA DCI INAWAFUATILIA WATOTO WAWILI WALIOTOWEKA MAJUMA KADHAA YALIYOPITA MOYALE NA SOLOLO.

   Na Caroline Waforo Idara ya watoto katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit imesema kuwa kwa ushirikiano na idara ya upelelezi DCI inaendelea kuwatafuta watoto wawili walioripotiwa kutoweka kwa njia tatanishi majuma kadhaa yaliyopita katika maeneo ya Moyale na Sololo. Kulingana na afisa wa watoto katika eneo bunge[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter