Author: Editor

NGOS YATAKIWA KUANDAA HAFLA ZA MICHEZO ILI KUEPUSHA WANAFUNZI NA MAWAZO HASI WAKATI WA LIKIZO.

Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani  Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]

Read More

WAFUGAJI KUTOKA ELDAS WAJIR WATAKIWA KUONDOKA UPANDE WA MARSABIT.

MWAKILISHI wadi wa Obbu, Halkano Rare amekariri haja ya idara ya usalama hapa Marsabit kusaidia kuondolewa kwa wafugaji kutoka eneobunge la Eldas, Wajir ambao wanaendelea kulisha mifugo yao katika wadi ya Obbu, Sololo kaunti hii ya Marsabit. Rare ameambia Radio Jangwani kuwa licha ya ofisi yake kutoa ombi kwa idara[Read More…]

Read More

LOGLOGO RESCUE CENTER KUFUNGULIWA JANUARI MWAKA UJAO WA 2025.

Kituo cha kuwalinda na kuwahifadhi waadhiriwa wa dhulma za kijinsia katika eneo la Loglogo (Loglogo Rescue Center) kaunti ya Marsabit kitafunguliwa januari mwaka ujao wa 2025. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Joshua Akeno Leitoro. Akizungumza na Radio Jangwani baada ya kukamilika kwa warsha[Read More…]

Read More

WAFANYAKAZI VIBARUA MARSABIT WAISHITAKI SERIKALI KWA KUWATIMUA KAZINI KABLA YA KANDARASI KUTAMATIKA 2025.

Waliokuwa wafanyikazi wa vibarua katika serikali ya kaunti ya Marsabit wamewasilisha kesi mahakamani kupinga kukatizwa kwa mkataba wao wa  kazi. Walalamishi hao wanaojumuisha walinzi walioajiriwa kati ya mwaka 2014-2021 wanashutumu serikali ya kaunti ya Marsabit kwa kwenda kinyume na makubaliano na mkataba. Katika kesi hiyo iliyowasilishwa katika mahakama ya marsabit[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter