Author: Editor

Aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit Gabriel Gambare azikwa katika eneo la Hula Hula.

Risala za rambi rambi zilisheheni katika misa ya wafu iliyofanyika katika kanisa katoliki ya Maria Consolata (Cathedral) hapa jimboni Marsabit kwa ajili ya kuombea mwendazake Gabriel Gambare aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit. Gambare ametajwa kama mtu aliyejijali na kuwasaidia wasiojiweza katika jamii, na alikuwa[Read More…]

Read More

UTABIRI YA HALI YA HEWA

IDARA ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit imesema kuwa rasha rasha za mvua wakati wa asubuhi, mchana na hata usiku zinatarajiwa katika sehemu kadhaa za jimbo la Marsabit kuanzia leo November 12 – 18th mwaka huu. Wakati huo imetabiri kuwa mvua kubwa huenda zikapokelewa katika baadhi ya sehemu[Read More…]

Read More

VILABU VYOTE VYA MPIRA WA MIGUU MARSABIT VILIFAA KURUHUSIWA KUPIGA KURA. – ASEMA MUANIAJI WA UENYEKITI WA FKF TAWI LA MARSABIT GODANA ROBA ADI

Muaniaji wa nafasi ya mwenyekiti wa shirilikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Godana Roba Adi amekanusha madai kuwa amewashawishi wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya Simu, Godana ametaja kwamba amefuata mikakati yote inayofaa katika kusaka uungwaji mkono kwenye[Read More…]

Read More

USALAMA WAIMARISHWA KATIKA KIJIJI CHA ABBO,SOLOLO KATIKA KAUNTI YA MARSABIT BAADA YA UVAMIZI SIKU YA JUMAPILI.

Usalama umeimarishwa katika kijiji cha Abbo kaunti ndogo ya Sololo katika kaunti ya Marsabit baada ya zaidi ya wahalifu wapatao 20 wanaoaminika kutoka nchi jirani ya Ethiopia kuvamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kabla ya kutoweka kuelekea eneo la Dukale nchini Ethiopia. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]

Read More

MITIHANI YA KITAIFA KCSE INAENDELEA KWA NJIA INAYOFAA – ASEMA MKURUGENZI WA ELIMU KAUNTI YA MARSABIT PETER MAGIRI.

Huku mtihani wa kitaifa ya KCSE ukiingia wiki yake ya pili hii leo,mkurugenzi wa elimu kaunti ya Marsabit Peter Magiri amesema kwamba zoezi hilo limekuwa likiendelea vyama kama ilivyoratibiwa. Akizungmza na Shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Magiri amesema kuwa licha ya mvua chache ambazo zimeshuhudiwa katika maeneo kadhaa hapa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter