Padre Francisco (Frank) Terragni kupumzishwa hiyo kesho Alhamisi….
January 22, 2025
Jamii ya Marsabit imetakiwa kujitokeza kupimwa ugonjwa wa Meningitis ili kuhakikisha kwamba wanapata matibabu mapema. Kwa mujibu wa daktari Stive Sereti anayeshughulikia wagonjwa wanaougua maradhi hayo katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa ni vyema kufanyiwa vipimo vya mara kwa mara vya ugonjwa huo kwani unaadhiri hadi watoto. Akizungumza na[Read More…]
Wafanyikazi wa kujitolea katika eneo bunge la Saku wametishia kususia kuwasilisha ripoti za kazi wanazofanya vijijini hadi pale watakapolipwa mishahara yao. Kwa mujibu wa kiongozi wa wafanyikazi hao kutoka hapa mjini Marsabit Rashid Abdi ni kuwa watatumia hilo kama njia ya kushikiza serekali ya kaunti ya Marsabit kushughulikia maswala ambayo[Read More…]
Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]
Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu tawi la Marsabit Mohamed Nane ameweka wazi kuwa amesusia uchanguzi wa leo kutokana na mpinzani wake kuwashawishi wapiga kura kwa misingi ya kikabila. Nane ambaye hakuwasili katika ukumbi wa uchanguzi wala kutuma ajenti wake ametaja kwamba mpizani wa Godana Roba Adi amewashawishi wapiga[Read More…]
Huku ulimwengu ukisherekea siku ya Ugonjwa wa Sukari, ugonjwa huu umetajwa kama mmoja wa magonjwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa figo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee, muuguzi wa figo katika Hospitali ya Rufaa ya Marsabit, Abdinassir Mohamed Jillo, amesema kuwa ugonjwa wa figo umeenea kati ya[Read More…]
Vyombo vya habari kaunti ya kaunti ya Marsabit vinafaa kuwa makini na habari vyanavyopeperusha kwenye vituo vyao. Haya yamekaririwa na Kamishina wa kaunti ya Marsabit Paul Kamau. Akizungumza kwenye mkutano ya wanahabari na wakuu wa idara mbalimbali ya serikali hii leo, Kamau amesema kuwa kaunti ya Marsabit imejulikana na jina[Read More…]
Mashindano ya Muziki ya Watoto wa PMC yameanza rasmi leo katika Kanisa Katoliki la Marsabit. Akizungumza na idhaa hii, Andrew Abdub ambaye ni mwenyekiti wa parokia, amesema kuwa vigango vinne vitashiriki katika tamasha hilo. Alisisitiza kwamba lengo la mashindano ya leo ni kutafuta washiriki watakaowakilisha dayosisi ya Marsabit katika tamasha[Read More…]
Baadhi a desturi ambayo wazazi wanatumia kuwatibu watoto waliochelewa kutembea imetajwa kuathiri watoto wengi na hata kuwaletea shida za kimwili. Kulingana na Waqo Huqa ambaye ni daktari anayeshughulikia ulemavu watoto amesema wazazi wengi hutumia njia ya kitamaduni ambazo zinaathiri maisha ya watoto na hata kuwasababishia ulemavu. Huqa akizungumzia mila hizo,[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari siku ya Alhamisi wanadada katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kunenepesha mili ikitajwa kuchangia ugonjwa huo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake afisa anayesimamia ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza Sororo Abudho amedokezo kuwa dawa hizo zina chembechembe[Read More…]
Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imeongeza kiwango cha walimu katika shule za msingi,msingi sekondari (JSS) na shule za upili. Kulingana vyanzo vya habari kutoka tume ya huduma za walimu TSC, vilivyosema na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee ni kwa takriban walimu 426 waliajiriwa kwa mkataba wa[Read More…]