Padre Francisco (Frank) Terragni kupumzishwa hiyo kesho Alhamisi….
January 22, 2025
Watu wanaoishi na ulemavu wa kutosikia na kuona katika kaunti ya Marsabit wamelalamikia kutengwa wakati wa zoezi la kusajili watu wanaoishi na ulemavu majuma machache yaliyopita Kwa mujibu wa Asili Sori ambaye aliongea nasi kwa lugha ya ishara na kutafsiriwa kwa sauti na Bi Arbe ni kuwa watu wanaoishi na[Read More…]
Baraza la watu wanaoishi na ulemavu limeadhimisha miaka 20 tangu kuadhimishwa kwake huku jumbe za kuwajali walemavu zikisheheni wakati wa maadhimisho hayo hapa jimboni Marsabit. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa idara ya huduma za jamii katika kaunti ya Marsabit Galgallo Okata ni kuwa serekali ya kaunti ya Marsabit imehakikisha kwamba[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhakikisha kwamba wamewapeleka wanao shuleni ili wapate elimu wakati wapo katika umri wa kusoma. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit ni kwamba ni changamoto kwa wengi kusoma wakiwa watu wazima jambo linaloweza kuadhiri masomo yao. Akizungumza na Shajara ya Radio[Read More…]
Shughuli za nyumbani pamoja na kikazi zimetajwa kama sababu kuu ya wanawake kuwa na muda mchache wa kufanya mazoezi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Paradise club Konze Kura ni kuwa wanawake wengi hupata majukumu mengi nyumbani na hata kazini jambo ambalo linawafanya wao kukosa muda wa kufanya Mazoezi. Konze ameelezea[Read More…]
KUNA haja ya wafugaji katika kaunti ya Marsabit kufundishwa ujuzi wa ukulima badala ya kutegemea ufugaji pekee yake. Susan Aleiya kutoka Loglogo ambaye ni mkulima na mfugaji pia ameitaka idara ya kilimo eneobunge la Laisamis kuwapa wafugaji elimu ya kilimo pia ili kunufaika na mazuri wakati maji au mvua ipo.[Read More…]
Siku moja baada Askofu mkuu wa kanisa Katoliki jimbo kuu la Nairobi Philip Anyolo kutoa taarifa ya kurudisha shilingi milioni 5 iliyochangwa na Rais William Ruto wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na kurejeshwa kwa pesa hizo. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia[Read More…]
Mwanaume wawili wenye umri wa makamu wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit hii leo kwa kosa la wizi wa kimabavu. Washukiwa Boru Wako Dida almarufu Boru Abakula na Abdirahaman Hussein almarufu Churuka wanadaiwa kuwa mnamo tarehe 3 mwezi wa septemba katika mtaa wa Saku wakiwa na wengine ambao hawakuwa mbele ya[Read More…]
Na Carol Waforo Visa vya ulawiti (sodomy) vimeongezeka pakubwa katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Haya ni huku taifa likiendeela kuadhimisha mwezi wa huduma kwa watoto katika mwezi huu wa Novemba. Kulingana na afisa wa watoto katika shirika la Strategies for Northern Development SND Joan Chebet aliyezungumza na shajara[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Jamii zinazoishi kaunti ndgo ya Moyale na Marsabit kwa ujumla zimetakiwa kuendelea kuishi kwa njia ya Amani na ushirikiano ili kufanikisha maendeleo na uwiano. Kauli hiyo imetolewa na Mohamednur Korme ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa Amani Moyale na pia katibu wa muungano ya Amani ng’ambo ya[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya choo duniani, wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Marasabit kuhakikisha kwamba kila boma iko na choo. Kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya afya kaunti ya Marsabit Omar Boko, ni kuwa uwepo wa vyoo katika kila boma utahakikisha kwamba jimbo la Marsabit limedumisha[Read More…]