Author: Editor

WASHUKIWA WAWILI WA WIZI WA KIMABAVU WATIWA MBARONI MJINI MARSABIT.

Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wamekamatwa mjini Marsabit. Wawili hao Boru Wako almaarufu Wako Abakula na Abdirahman Hussein almaarufu Churuka walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuhusishwa na visa mbalimbali vya wizi wa kimabavu mjini Marsabit na viunga vyake. Akithibitisha hili OCPD wa Marsabit Central Edward Ndirangu amesema kuwa wawili hao ni kati ya[Read More…]

Read More

WAKAAZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMETAKIWA KUJIKINGA NA BARIDI ILI KUJIEPUSHA NA MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BARIDI.

Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujikinga na baridi ili kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na baridi. Haya ni Kwa mujibu wa Bonsa Doti ambaye ni muuguzi wa afya katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Doti amesema kuwa ni muhimu kujizuia baridi kwa[Read More…]

Read More

WATU WANAOISHI NA ULEMAVU KAUNTI YA MARSABIT WAPENDEKEZA KUWEPO KWA MFASIRI WA LUGHA YA ISHARA KWENYE HAFLA ZINAZOANDALIWA HAPA JIMBONI.

Siku moja baada ya walemavu kupata usaidizi mbalimbali kutoka kwa mbunge wa Saku Dido Ali Raso na Senata wa Marsabit Mohamed Chute, watu wanaoishi na ulemavu wa kutozungumza wamekariri kuwa wanapitia changamoto nyingi katika kaunti hii. Baadhi ya waliozungumza na Idha hii wamesema kuwa changamoto kuu wanayokumbana nayo na kukosekana[Read More…]

Read More

NGOS YATAKIWA KUANDAA HAFLA ZA MICHEZO ILI KUEPUSHA WANAFUNZI NA MAWAZO HASI WAKATI WA LIKIZO.

Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani  Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]

Read More

WAFUGAJI KUTOKA ELDAS WAJIR WATAKIWA KUONDOKA UPANDE WA MARSABIT.

MWAKILISHI wadi wa Obbu, Halkano Rare amekariri haja ya idara ya usalama hapa Marsabit kusaidia kuondolewa kwa wafugaji kutoka eneobunge la Eldas, Wajir ambao wanaendelea kulisha mifugo yao katika wadi ya Obbu, Sololo kaunti hii ya Marsabit. Rare ameambia Radio Jangwani kuwa licha ya ofisi yake kutoa ombi kwa idara[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter