Loading Now

Highlights

Shughuli za usafiri zarejea kwenye barabara ya Korr-Marsabit

Na Sabalua Moses

Shughuli za usafiri zimerejea kwenye barabara ya Korr-Marsabit hii ni baada ya mvua kutatiza usafiri wa magari kwa siku chache.

Akizungumza na Shajara Naibu Kamishna wa kaunti ndogo ya Korr Boniface Kiptoo amesema kuwa barabara hiyo hutatizika wakati wa mvua kutokana na matope mengi .

Hata hivyo Kiptoo amewataka madereva kuwa waangalifu akisema kuwa baadhi ya maeneo kama Namarei, Malgis pia yalikuwa yametatizika kutokana na mvua iliyonyesha.

Post Comment