Highlights

Maafisa wa kliniki marsabit waanza mgomo baada ya mazungumzo kugonga mwamba

NA Sabalua Moses

Maafisa wa kliniki kaunti ya Marsabit wamerudi mgomoni siku ya tatu mfululizo sasa baada ya mazungumzo yao na serikali ya kaunti kugonga mwamba.

Mgomo huu unakuja takriban siku 30 baada yamaafisa hao wa kiliniki  kurejea kazini kutokana na amri ya mahakama ya Nyeri iliyositisha mgomo wao uliopita, wameamua kuendelea na mgomo baada ya pande husika kushindwa kufikia makubaliano.

Kwa mujibu wa barua ya muungano wa maafisa wa kliniki, mgomo umechochewa na mishahara duni, mazingira magumu ya kazi, na kutopandishwa cheo.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment