Ukeketaji imetajwa kuwa mojawapo ya sababu ya ugonjwa wa fistula Marsabit.
Na Samuel Kosgei 2223 Akizungumza katika hafla ya kujadili mbinu za kukabiliana na dhuluma za…
Upatikanaji wa dawa za kulevya kwa urahisi wachochea matumizi miongoni mwa wanafunzi Marsabit
NA Caroline Waforo Upatikanaji wa dawa za kulevya kwa urahisi, ugumu wa maisha pamoja na…
Gachagua Amshutumu Ruto kwa Kutotekeleza Ahadi Marsabit na ukanda wa kaskazini.
NA Samuel Kosgei KIONGOZI wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amezidisha mashambulizi dhidi ya Rais…
Tume ya uchaguzi IEBC yamteua Moses Sunkuli kuwa kaimu mtendaji wake.
Na Samuel Kosgei Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imemteua Moses Ledama Sunkuli kuwa…
Usalama waimarishwa Isiolo, mifugo iliyoibiwa yarejeshwa kulingana na kamishna David Kiprop.
NA Nyabande Orwa Kamishna wa kaunti ya Isiolo, David Kiprop, amesema kuwa asasi za usalama…
NCCK Marsabit yalaani mashambulizi ya nyumba za ibada.
NA Joseph Muchai Uongozi wa muungano wa makanisa nchini (NCCK) katika kaunti ya Marsabit umekemea vikali mashambulizi…
Rais Ruto ampongeza Museveni kwa kuchaguliwa tena, huku akisifu ukomavu wa demokrasia nchini Uganda
Na Samuel Kosgei Rais William Ruto amemtumia ujumbe wa pongezi Rais mteule wa Uganda Yoweri…
Wandani wa Ukur Yattani wapinga UPIA kuhusishwa na upinzani.
Na Nyabande Orwa Mwakilishi wa wadi ya Karare katika kaunti ya Marsabit, Joseph Leruk, amepinga…
Naibu mwenyekiti wa kamati ya amani Adan Chukulisa atoa wito wa amani, Marsabit huku akikashifu matamshi ya hivi punde ya Rigathi Gachagua
NA Joseph Muchai Naibu mwenyekiti wa kamati ya amani katika kaunti ya Marsabit Adan Chukulisa…
Walengwa wa HSNP Marsabit kupokea malipo ya miezi mitatu mwezi huu wa January.
Na Samuel Kosgei SERIKALI kupitia mamlaka ya kitaifa ya kukabili ukame NDMA imeanza kusambaza pesa…
Serikali yaachilia zaidi ya shilingi 800m ya Inua Jamii inayolenga watoto mayatima.
NA Samuel Kosgei Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni mia nane sabini na saba kwa…
Viongozi wa kisiasa watakiwa kuhubiri amani Marsabit
NA Sabalua Moses Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhubiri amani hasa tunapoelekea…