Ukeketaji imetajwa kuwa mojawapo ya sababu ya ugonjwa wa fistula Marsabit.
Na Samuel Kosgei 2223 Akizungumza katika hafla ya kujadili mbinu za kukabiliana na dhuluma za…
Upatikanaji wa dawa za kulevya kwa urahisi wachochea matumizi miongoni mwa wanafunzi Marsabit
NA Caroline Waforo Upatikanaji wa dawa za kulevya kwa urahisi, ugumu wa maisha pamoja na…
NCCK Marsabit yalaani mashambulizi ya nyumba za ibada.
NA Joseph Muchai Uongozi wa muungano wa makanisa nchini (NCCK) katika kaunti ya Marsabit umekemea vikali mashambulizi…
Wandani wa Ukur Yattani wapinga UPIA kuhusishwa na upinzani.
Na Nyabande Orwa Mwakilishi wa wadi ya Karare katika kaunti ya Marsabit, Joseph Leruk, amepinga…
Naibu mwenyekiti wa kamati ya amani Adan Chukulisa atoa wito wa amani, Marsabit huku akikashifu matamshi ya hivi punde ya Rigathi Gachagua
NA Joseph Muchai Naibu mwenyekiti wa kamati ya amani katika kaunti ya Marsabit Adan Chukulisa…
Walengwa wa HSNP Marsabit kupokea malipo ya miezi mitatu mwezi huu wa January.
Na Samuel Kosgei SERIKALI kupitia mamlaka ya kitaifa ya kukabili ukame NDMA imeanza kusambaza pesa…
Viongozi wa kisiasa watakiwa kuhubiri amani Marsabit
NA Sabalua Moses Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhubiri amani hasa tunapoelekea…
Mshukiwa wa uavyaji mimba afikishwa mahakamani Marsabit
Mwanaume mmoja anayeshukiwa kutekeleza uavyaji mimba katika eneo la Dirib Gombo kaunti ya Marsabit amefikishwa…
Kiangazi chapunguza idadi ya wanafunzi wanaoripoti shuleni kwa muhula wa kwanza, Marsabit
NA Caroline Waforo Idadi ndogo ya wanafunzi imeripoti shuleni kwa muhula wa kwanza wa mwaka…
Mamlaka ya NDMA yatangaza hali ya ukame na onyo la mapema katika Kaunti ya Marsabit.
NA Samuel Kosgei Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Ukame, NDMA, katika Kaunti ya Marsabit…
Mwanaume mmoja afariki dunia kufuatia ajali ya barabarani, Kargi
NA CAROL WAFORO Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 63 amefariki dunia kufuatia ajali ya…
Serikali kuu yaanza kufuatilia mienendo ya wanasiasa Marsabit msimu wa siasa ukianza.
NA NYABANDE ORWA Kamishna wa Kaunti ya Marsabit, James Kamau, amesema kuwa serikali inafuatilia kwa karibu…