NCCK Marsabit, yatoa wito wa Amani msimu huu wa pasaka.
Na JB Nateleng Mwenyekiti wa baraza la kitaifa la makanisa humu nchini (NCCK), tawi la…
Wakazi walalamikia daraja bovu Shauri Yako Marsabit.
NA Nyabande Orwa Wakazi wa Shauri Yako katika eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit,…
Waumini wakatoliki wahimizwa kutumia wiki takatifu kwa sala na tafakari.
NA JB Nateleng Wakati Kanisa Katoliki linaendelea kuadhimisha Wiki Takatifu, ambayo ni kilele cha kipindi…
Mvua yaongeza kiwango cha maji bwawa la bakuli
Na Nyabande Orwa. Maji katika bwawa la bakuli, kaunti ya Marsabit, sasa yamefikia nusu. Hayo…
Mwanafunzi 77 wahitimu baada ya kupokezwa mafunzo ya kompyuta Saku.
Na JB Nateleng Wazazi katika Kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata mafunzo…
Baadhi ya maeneo kaunti ya Marsabit kuendelea kupokea mvua katika kipindi cha siku saba zijazo
Na Caroline Waforo Utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit katika siku 7 zijazo…
Wachukuzi katika barabara ya Loiyangalani-Marsabit walalamikia hasara kutokana na ubovu wa barabara
Na JB Nateleng Wachukuzi wa magari katika barabara ya Loiyangalani-Marsabit wamelalamikia hasara kubwa kufuatia hali…
Wito umetolewa kwa wazazi kuwalinda wasichana wakati wa likizo.
Na Sabalua Moses Wito umetolewa kwa wazazi kuwa waangalifu na watoto wao wanapoanza likizo fupi. Hayo ni kwa mujibu wa mkurugenzi…
Wanaskauti Marsabit wafanya uchaguzi
Na JB Nateleng Wanachama wa skauti katika kaunti ya Marsabit wamechagua viongozi wapya katika uchaguzi…
Ukosefu wa sera wazorotesha ukusanyaji wa takwimu za mtoto wa kike Marsabit
Na Nyabande Orwa Kama njia moja ya kuhakikisha kunakuwa na takwimu za kutosha kuhusu mtoto wa…
Wazazi wahimizwa kuwahusisha watoto katika mafunzo ya dini wakati wa likizo
Na JB Nateleng Huku wanafunzi wakitarajiwa kufunga shule na kurejea nyumbani kwa likizo ya mwezi…
IEBC yalenga kusajili wapiga kura wapya 40,000 Marsabit huku zoezi la usajili endelevu wa wapigaji kura likianza rasmi
Na Caroline Waforo Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imeanza rasmi zoezi la kitaifa…