Vijana wahimizwa kuongoza juhudi za utunzaji mazingira Loiyangalani
Na JB Nateleng Wakazi wa Loiyangalani wamehimizwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika juhudi za kulinda na…
Waumini wa Kiislamu wahimizwa kuwasaidia wasiojiweza
Na JB Nateleng Leo ikiwa ni Ijumaa ya mwisho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, waumini…
Kanisa Katoliki lawataka vijana kutumia teknolojia kueneza injili
Na JB Nateleng Kanisa Katoliki limetoa wito kwa vijana kutumia teknolojia kwa njia inayochangia ukuaji…
Wakaazi Loglogo waiomba serikali kujenga daraja Mto Sabamba
Na Caroline Waforo Wakaazi wanaoishi karibu na Mto Sabamba ulioko katika eneo la Loglogo, eneobunge…
Familia moja Loglogo yaomba msaada wa matibabu kwa mtoto mwenye ugonjwa wa Recto-Vagina Fistula,Â
Na Caroline Waforo. Familia moja kutoka eneo la Loglogo eneobunge la Laisamis Kaunti ya Marsabit…
Mashindano ya michezo ya muhula wa kwanza yaanza Marsabit Central.
Na JB Nateleng Mashindano ya michezo ya muhula wa kwanza katika ngazi ya kaunti yameanza…
Mtaala wa CBE waendelea kukumbatiwa Marsabit huku michezo ya shule za upili ikanza.
Na JB Nateleng Msimamizi wa ubora wa elimu katika Kaunti ya Marsabit, Mumas Wanyama, amesema…
Seneta Chute aitaka Seneti kuchunguza uchimbaji wa bwawa la Moyam
Na Sabalua Moses Seneta wa Marsabit Mohamed Chute ametaka uchunguzi ufanywe kuhusiana na uchimbaji wa…
Raia wa Poland apigwa faini ya shilingi 20,000 kwa kupatikana na bangi Marsabit.
Na Nyabande Orwa Raia wa Poland mwenye umri wa miaka 47 aliyekamatwa na misokoto 24 ya bangi…
ODPP Marsabit yafundisha mahabusu njia mbadala za kesi na makubaliano ya kukiri kosa
Na Nyabande Orwa Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma katika kaunti ya Marsabit , ikiongozwa na mkuu wa kaunti Joseph…
Wananchi walio karibu na Ziwa Turkana watakiwa kuchukua tahadhari msimu huu wa mvua.
Na JB Nateleng Wakaazi wanaoishi kando ya Ziwa Turkana kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa waangalifu…
Wakazi wa Kargi, South Horr na Chalbi kuwasilisha kesi kortini kuhusu ongezeko la saratani
Na Nyabande Orwa Wakazi wa maeneo ya Kargi, South Horr na Chalbi wanatarajiwa kuwasilisha kesi…