Mahakama ya leba mjini Nyeri imesitisha mgomo wa maafisa wa kliniki chini ya muungano wao wa KUCO, tawi la Marsabit kwa kipindi cha siku 30 zijazo.
NA SABALUA MOSES Hatua hii inakusudia kutoa nafasi ya mazungumzo ya kina na ya nia…
Viongozi wa Marsabit waomba msaada wa chakula msimu wa kiangazi ukirindima.
NA NYABANDE ORWA Viongozi wa kaunti ya Marsabit wametoa wito kwa wahisani na wadau mbalimbali…
Shirika la, MWADO, lazindua kitengo kipya cha nambari za dharura ili kukabili dhulma za kijinsia.
NA NYABANDE ORWA Shirika la kutetea haki za binadamu, la Marsabit Women Advocacy & Develpoment Organisation, MWADO,…
Polisi waimarisha oparesheni ya kuwarejesha mifugo walioibiwa eneo la Moite.
NA HENRY KHOYAN Polisi wamethibitisha kuwa wameimarisha oparesheni ya kusaka mifugo iliyoporwa katika eneo la…
Marsabit yaorodheshwa miongoni mwa kaunti 9 zilizoko kwenye tahadhari ya ukame nchini.
NA CAROLINE WAFORO Kaunti ya Marsabit iko katika hali ya tahadhari ya ukame kutokana na…
Mtu aaga dunia, wengine 7 wakipata majeraha baada ya gurudumu la gari kupasuka eneo la Gof Choba Marsabit.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kupata majeraha kufuatia ajali ya barabara iliyotokea asubuhi…
Grade 10 Learners to be Placed in Senior Schools Under New System: Key Updates and Guidelines
The Ministry of Education is set to begin the placement of Grade 10 learners in…
Wanaoendeleza ukeketaji Marsabit waonywa
NA JAMES MUCHAI Watu wanaoendeleza ukeketaji katika kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kuendelea…
Madaktari Marsabit waafikiana na serikali ya kaunti kurejea kazini.
NA NYABANDE ORWA Ni afueni kwa wagonjwa katika kaunti ya Marsabit baada ya madaktari kusitisha…
Waziri wa ulinzi Soipan Tuya ataka jamii kusuluhisha mzozo wa ardhi za jamii na KDF kwa njia ya mazungumzo.
SERIKALI imeitaka jamii zinazoishi karibu na kambi ya jeshi nchini kutokuwa na migogoro ya mahusiano…
Wazazi watakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu
Wazazi wametakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu.…
Wanaharakati wamahamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuasi dhulma za kijinsia.
Wanaharakati katika kaunti ya Marsabit na maeneo ya jirani wanaendelea kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa…