Wazazi watakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu
Wazazi wametakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu.
Mratibu wa mamlaka ya kukabiliana na dawa za kulevya katika kaunti ya Marsabit, Mohammed Wako, amesema ni muhimu wazazi kuwa wazi na watoto wao na kuwapa mwongozo kuhusu masuala mbalimbali ya maisha, hasa wakati huu ambapo matumizi ya teknolojia yameongezeka kwa kasi.
Amesema wazazi wanapaswa kuwasikiliza watoto wao, kujadiliana nao mara kwa mara na kuwafundisha umuhimu wa maadili mema ili kuwaepusha na tabia hatarishi.
I



Post Comment