Polisi wawili na raia mmoja washtakiwa kwa wizi wa ushahidi Marsabit.
Maafisa wawili walio na hadhi ya konstabo pamoja na raia mmoja wameshtakiwa katika mahakama ya…
CABINET NEWS KENYA 2025
On 15th, 2025, the Cabinet chaired by President William Ruto, sat and ratified as follows:…
Washikadau mjini Marsabit watetea nafasi ya mtoto wa kiume katika jamii.
NA NYABANDE ORWA Wakati mashirika mbalimbali na wadau wakielekeza juhudi zao kwa mtoto wa kike,…
Maafisa wa polisi Marsabit kutumia mahakama tamba kuwawajibisha madereva wanaokiuka sheria za trafiki papo hapo.
NA NYABANDEÂ ORWA Kamanda wa Polisi wa kaunti ya Marsabit, Leonard Kimaiyo, ametoa wito kwa madereva…
Mahakama ya leba mjini Nyeri imesitisha mgomo wa maafisa wa kliniki chini ya muungano wao wa KUCO, tawi la Marsabit kwa kipindi cha siku 30 zijazo.
NA SABALUA MOSES Hatua hii inakusudia kutoa nafasi ya mazungumzo ya kina na ya nia…
Viongozi wa Marsabit waomba msaada wa chakula msimu wa kiangazi ukirindima.
NA NYABANDE ORWA Viongozi wa kaunti ya Marsabit wametoa wito kwa wahisani na wadau mbalimbali…
Shirika la, MWADO, lazindua kitengo kipya cha nambari za dharura ili kukabili dhulma za kijinsia.
NA NYABANDE ORWA Shirika la kutetea haki za binadamu, la Marsabit Women Advocacy & Develpoment Organisation, MWADO,…
Mtu aaga dunia, wengine 7 wakipata majeraha baada ya gurudumu la gari kupasuka eneo la Gof Choba Marsabit.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kupata majeraha kufuatia ajali ya barabara iliyotokea asubuhi…
Wanaoendeleza ukeketaji Marsabit waonywa
NA JAMES MUCHAI Watu wanaoendeleza ukeketaji katika kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kuendelea…
Madaktari Marsabit waafikiana na serikali ya kaunti kurejea kazini.
NA NYABANDE ORWA Ni afueni kwa wagonjwa katika kaunti ya Marsabit baada ya madaktari kusitisha…
Waziri wa ulinzi Soipan Tuya ataka jamii kusuluhisha mzozo wa ardhi za jamii na KDF kwa njia ya mazungumzo.
SERIKALI imeitaka jamii zinazoishi karibu na kambi ya jeshi nchini kutokuwa na migogoro ya mahusiano…
Wazazi watakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu
Wazazi wametakiwa kutumia muda wa kutosha na watoto wao katika kipindi hiki cha likizo ndefu.…