Shule ya upili ya ACK St Andrews Marsabit, yafanya vyema kwenye mtihani wa KCSE 2025
NA JB Nateleng Shule ya upili ya ACK St Andrews ya Badasa, eneobunge la Saku,…
KFS Marsabit yaonya wafugaji dhidi ya moto wa misituni msimu wa kiangazi
NA Nyabande Orwa Msimu wa kiangazi ukiendelea katika kaunti ya Marsabit, idara ya huduma ya…
Gavana Mohamud Ali ahidi kutoa mazingira bora kwa  biashara za vijana Marsabit.
NA JB Nateleng Gavana wa kaunti ya Marsabit, Mohamud Ali, amewahakikishia vijana waliopata mtaji wa…
Kesi za unajisi pamoja na ulawiti zazidi kuongezeka Marsabit
NA Caroline Waforo Kesi za unajisi zimeongezeka katika mahakama ya Marsabit huku washukiwa wakuu wakiwa…
Mwanaume mahakamani kwa kutishia kumuua mkewe na wanawe huku mwingine akishtakiwa kwa kutishia kumuua nduguye, Marsabit.
Wanaume wawili wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa tuhuma za kutishia kuua katika visa viwili…
Vijana wahimizwa kukumbatia masomo ya Vyuo vya Anuwai
NA JB Nateleng Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Marsabit kukumbatia masomo ya Vyuo…
Familia ni nguzo ya malezi na utambuzi wa wito wa maisha asema  Padri Joseph Ng’ang’a.
NA JB Nateleng Familia imetajwa kuwa nguzo muhimu katika kuwalea watoto na kuwasaidia kutambua wito…
Wakaazi wa Marsabit waunga mkono matamshi ya Gachagua, wataka uwajibikaji kutoka kwa viongozi
NA Joseph Muchai Matamshi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua aliyetuhumu viongozi wa maeneo ya…
Marsabit yashuhudia idadi ndogo ya wanafunzi wanaojiunga na Gredi ya 10 siku ya kwanza.
NA Nyabande Orwa Wanafunzi wa gredi ya kumi wameanza kujiunga na shule mbalimbali walizopangiwa katika…
Wakaazi wa kaunti ya Marsabit waombwa kujitolea katika vita dhidi ya dawa za kulevya.
NA Joseph Muchai Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kujitolea kikamilifu katika kupambana na matumizi…
Wazazi watafuta uhamisho kwa wanafunzi wa gredi ya 10 bila kuzingatia njia tatu za masomo, MarsabitÂ
NA Caroline Waforo Wadau wa elimu katika kaunti ya Marsabit wameeleza wasiwasi mkubwa kuwa wazazi…
Wakaazi wa Toricha Maikona walilia uhaba wa maji kutokana na visima kukauka. Waomba msaada kukabili janga hilo.
NA Samuel Kosgei Wakazi wa maeneo ya Toricha na Qatamur katika Kaunti Ndogo ya Maikona, Kaunti ya Marsabit,…