Vijana Marsabit wahimizwa kukubali miito ya injili
NA JB Nateleng Vijana katika katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kukubali miito ya kumtumikia Mwenyezi…
Wananchi mpakani mwa Kenya na Ethiopia watakiwa kudumisha amani baada ya mauaji wa watu 6, Illeret
NA Caroline Waforo Wito wa amani umetolewa kwa wananchi wanaoishi mpakani mwa Kenya na Ethiopia…
Maafisa wa kliniki marsabit waanza mgomo baada ya mazungumzo kugonga mwamba
NA Sabalua Moses Maafisa wa kliniki kaunti ya Marsabit wamerudi mgomoni siku ya tatu mfululizo…
Uchaguzi wa 2027 utazingatia utendakazi wala si chama wala kabila,wasema vijana marsabit.
Na Nyabande Orwa Vijana katika kaunti ya Marsabit wamesema katika uchaguzi mkuu wa 2027 watapiga…
Wandani wa Ukur Yattani wapinga UPIA kuhusishwa na upinzani.
Na Nyabande Orwa Mwakilishi wa wadi ya Karare katika kaunti ya Marsabit, Joseph Leruk, amepinga…
Wito wa kuimarisha elimu ya mtoto wa kike watolewa, Marsabit
Na JB Nateleng Licha ya kaunti ya Marsabit kukaribia kurekodi usawa wa kijinsia miongoni mwa…
Watu watatu wakamatwa kwa wizi wa mifugo Loiyangalani
Na Joseph Muchai Watu watatu wamekamatwa na maafisa wa polisi wakihusishwa na wizi wa mifugo…
Vijana Marsabit watoa hisia mseto kuhusu mtaji wa mradi wa Nyota.
Na Nyabande Orwa Vijana katika kaunti ya Marsabit wametoa maoni tofauti kuhusu mradi wa NYOTA…
Watu sita wauawa huku wanane wakijeruhiwa katika shambulizi la wizi wa mifugo illeret, mpakani mwa kenya na ethiopia
Na Mwandishi Wetu Watu sita wameuawa huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika shambulizi la wizi…
Idadi kubwa ya vijana gerezani marsabit yahusishwa na matumizi wa dawa za kulevya.
Na Caroline Waforo Utumizi wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana unaendelea kuwa donda sugu…
Shule ya upili ya ACK St Andrews Marsabit, yafanya vyema kwenye mtihani wa KCSE 2025
NA JB Nateleng Shule ya upili ya ACK St Andrews ya Badasa, eneobunge la Saku,…
KFS Marsabit yaonya wafugaji dhidi ya moto wa misituni msimu wa kiangazi
NA Nyabande Orwa Msimu wa kiangazi ukiendelea katika kaunti ya Marsabit, idara ya huduma ya…