Highlights

Jamii eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit yatolewa hamasa ya kuwapeleka wanao shuleni

NA Silvio Nangori

Jamii eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit imetolewa hamasa ya kuwapeleka wanao shuleni kabla ya kukumbana na mkono wa sheria.

Kulingana na afisa wa Watoto eneo la Loiyangalani Moses Lolochum ni kwamba wafugaji ambao kwa mara nyingi wametajwa kuwaoza watoto wao wa kike mapema wamehamasishwa kupitia kampeni ianyoendeshwa eneo hilo kuwarejesha shule watoto.

Post Comment