County Updates, Diocese of Marsabit, Local Bulletins

Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu Kwaahirishwa.

Washukiwa James Legalorah Na Leserian Lejir Wakiwa Na Pembe Za Ndovu.
Picha; Mark Dida

By Mark Dida,

Mahakama Ya Marsabit Imeahirisha Kutajwa Kwa Kesi Ya Washukiwa Wawili Wa Uwindaji Haramu James Legalorah Na Leserian Lejir Waliopatikana Na Kilo 51.5 Za Pembe Wiki Mbili Zilizopita Katika Eneo La Lag Malgis Kaunti Ya Marsabit.
Hii Ni Baada Ya Washukiwa Hao Kutakiwa Wajitenge Kwa Siku 14 Baada Yao Kupimwa Virusi Vya Corona.
Kwa Mujibu Wa Hakimu Wa Mahakama Marsabit Collins Ombija Ni Kuwa Kesi Hiyo Itatajwa Tena Tarehe 05 Mwezi Januari Mwaka Ujao.
Wawinda Haramu Hao Walifikishwa Mahakamani Tarehe 03 Mwezi Huu Na Kukana Mashtaka Dhidi Yao.

One Comment

  1. naturally like your web site but you need to test the spelling on several of your posts. A number of them are rife with spelling issues and I find it very troublesome to tell the truth however I¦ll definitely come again again.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter