Kenya Yaungana Na Ulimwengu Kusherehekea Siku Ya Wanyamapori Duniani
March 3, 2021
By Adho Isacko
Katibu Wa Utawala Katika Wizara Ya Elimu Mumina Bonaya Ameitaka Jamii Ya Marsabit Kusitisha Mila Potovu Ya Ukeketaji Wa Wasichana.
Akizungumza Hii Leo Katika Shule Ya Msingi Ya Al-Hidaya Hapa Mjinini Marsabit Alipozuru Kutathmini Utayarifu Wa Shule Katika Kaunti Hii, Mumina Amesema Kuwa Wazari Wananaozingatia Mila Mbali Mbali Wanafaa Pia Kuzingatia Kalenda Ya Masomo Ili Kutowazuia Wanao Kurudi Shuleni.
Aidha Mumina Amesema Kuwa Wizara Ya Elimu Itawasaidia Wanafunzi Wakike Ambao Wamepata Ujauzito Wakati Wa Likizo Ndefu Ya Corona, Ili Waweze Kuendelea Na Masomo Hadi Pale Watakapojifungua.
Kuhusiana Na Swala La Wanafunzi Wengi Kukosa Barakoa Shuleni, Mumina Amesema Kuwa Hivi Karibuni Wizara Ya Elimu Itatoa Barakoa Kwa Shule Mbalimbali Ili Kuwafaidi Wasio Na Uwezo Wa Kununua.
Good write-up, I’m normal visitor of one’s blog, maintain up the nice operate, and It is going to be a regular visitor for a lengthy time.