County Updates, Diocese of Marsabit

Mwakilishi Wadi Ya Uran Halkano Konso Aachiliwa Huru.

Mwakilishi Wa Wadi Ya Uran Halkano Konso Akiwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Marsabit.
Picha;Hisani

By Adano Sharawe,

Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale Halkano Konso amechiliwa kutoka kwa kizuizi cha polisi juma moja baada ya kutiwa mbaroni na makachero wa DCI mjini Marsabit.

Maafisa wa idara hiyo walikuwa walimkata Konso akihusishwa na kisa cha siku ya Jumamosi ambapo gari moja la serikali ya kaunti lilinaswa na maafisa wa kushika doria katika mpaka wa Turbi na Sololo.

Konso, anayedaiwa kuwa mmoja wa wahusika wakuu wa sakata hiyo, anasemekana kuingia mafichoni baada ya kisa hicho kutokea lakini alijisalimisha baada ya kutakiwa kufanya hivyo la sivyo atangazwe kuwa mtu hatari aliyejihami kwa silaha na kuhusika katika visa vya ukosefu wa usalama katika Kaunti ya Marsabit.

Mengi yafuata…

Subscribe to eNewsletter