Wizara ya afya Marsabit ndio iliyotengewa mgao mkubwa, Zaidi ya 30% kwenye makadirio wa kifedha 2025/26
June 20, 2025
NA SAMUEL KOSGEI
MBUNGE wa North Horr Wario Adhe ameitaka idara ya usalama nchini kupanua oparesheni ya ondoa jangili hadi eneo la Dukana eneobunge la North Horr.
Wario akizungumza mjini Marsabit maajuzi alisema kuwa usalama wa kudumu utashuhudiwa katika mpaka wa Kenya na Ethiopia iwapo serikali itafanya oparesheni hiyo katika eneo hilo sawa na kuweka kambi ya kijeshi.
Mbunge huyo pia ameitaka wizara ya masuala ya ndani kushinikiza ujenzi wa barabara kuanzia Turbi kwenda illeret kutokana na hali ya ukosefu wa usalama ambao mara nyingi hushuhudiwa katika barabara hiyo.