Local Bulletins

Katibu mkuu wa chama cha walimu katika kaunti ya Marsabit Rosemary Talaso amekosoa vikali hatua ya serekali kupunguza bajeti ya elimu.

Katibu mkuu wa chama cha walimu katika kaunti ya Marsabit Rosemary Talaso amekosoa vikali hatua ya serekali kupunguza bajeti ya elimu.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini mwake Talaso amesema kwamba ni jambo la kuhuzunisha kuona kwamba serekali inapuuza maswala ya elimu kwa kupuunguza  bajeti ya elimu na kuhatarisha mitihani ya kitaifa ya KPSEA na KCSE.

Aidha Talaso amesema kwamba upungufu wao bajeti utaaadhiri pia zoezi la kuwaajiri walimu na pia kuadhiri kiwango cha elimu.

Kuhusiana na swala la kupunguzwa kwa marupurupu ya walimu haswa wanaohudumu katika maeneo kame, Talaso amesema kuwa kuwa hilo litavunja moyo walimu na pia kuadhiri kiwango cha elimu.

MORE TO FOLLOW !!!

Subscribe to eNewsletter