Itakua vigumu kwa rais Ruto kupata muhula wa pili iwapo hatatimiza ahadi zake
May 12, 2025
Na JB Nateleng
Wito umetolewa kwa jamii ya wafugaji jimboni Marsabit kukumbatia utamaduni wa kuweka akiba kwa manufaa ya kujiboresha na kuwa tayari kujikuza kibiashara ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
Kwa mujibu wa mratibu wa shirika la akiba la SHOFCO Bernard Mulwa ni kwamba jamii ya wafugaji inafaa kuhamasishwa kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuitumia wakati ambapo wanakumbana na matatatizo yanayotokana na mabadiliko ya Tabia Nchi ili kujiboresha na kuanza biashara ama chochote ambacho kinaweza wasaidia kusitiri mabadiliko hayo.
Mulwa amesema kuwa iwapo tamaduni hii itazingatiwa basi huenda watu wengi wakajisimamia wenyewe bila kutegea misaada ambazo muda mwingine unaweza ukachelewa.
Akizungumza na idhaa, Mulwa amesema kuwa vijana wanapaswa kuwa katika mstari wa mbele katika kuweka akiba kwa sababu itawasadia wanapotaka kuanzisha biashara hivyo kuwaepusha na hali ambayo itawafanya kujitosa katika matumizi ya mihadarati.