Kenya Yaungana Na Ulimwengu Kusherehekea Siku Ya Wanyamapori Duniani
March 3, 2021
News updates from the parishes
By Adano Sharawe, Makurutu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya kusajiliwa kwenye kikosi cha jeshi la Kenya (KDF) eneo la Saku hii leo walitemwa nje kutokana na matokeo ya vipimo vyao kuwa na chembechembe za mihadarati hasa miraa. Afisa msimamizi wa shughuli ya usajili wa makurutu kuingia jeshini eneo la Saku,[Read More…]
By Adano Sharawe, Shughuli ya kuwasajili makurutu wa kujiunga na kikosi cha jeshi, KDF imeendelea leo katika kaunti ya Marsabit eneo bunge la Sakuu, huku vijana wengi wakikosa nafasi ya kujiunga na kikosi hicho licha ya kuwa na vyeti vinavyohitajika. Luteni Kanali Martin Maluki ambaye ndiye msimamizi wa zoezi hilo[Read More…]
By Mark Dida, Idara ya polisi haitalegeza kamba Katika juhudi za kukabiliana na wezi wa mifugo hapa jimboni Marsabit. Hayo ni kwa mujibu wa OCPD wa Marsabit ya kati Johnstone Wachira. Wachira ameyataja hayo baada ya maafisa wa polisi kufanikiwa kuwarejesha zaidi ya mifugo 29 walioibiwa jana jioni katika eneo la Mata[Read More…]
By Adano Sharawe, Vyombo vya Usalama Jumanne vilifanikiwa kulizima jaribio la shambulizi dhidi ya Kituo cha Polisi cha Turbi eneo bunge la North Horr katika Kaunti ya Marsabit. Hii ni kulingana na Kaimu Mkuu wa Polisi eneo la Turbi David Muthure aliyefichua kwamba watu wanne waliwafyatulia risasi maafisa wa kituo[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Mbunge wa Moyale Qalicha Gufu ameiomba serikali na tume ya maridhiano ya kitaifa NCIC kumkamata na kumshtaki aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Torbi, Pius Yatani kwa kutoa matamshi ya uchochezi ya kijamii katika kaunti ya Marsabit miaka miwili iliyopita. Mbunge huyo ameteta kuwa licha ya agizo la polisi kumkamata mwanasiasa huyo, bado[Read More…]
By Samuel Kosgei, Askofu Michael Otieno Odiwa alisimikwa rasmi na kama Askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Homabay Jumanne, baada ya uteuzi wake mwaka jana. Sherehe ya kusimikwa kwake ilifanyikia katika shule ya upili ya Homabay Boys. Hafla hiyo ya kumtawaza Askofu Odiwa iliongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchi Kenya Askofu Mkuu Nuncio[Read More…]
http://https://www.youtube.com/watch?v=wFV2KoE1GSw The late Bishop Ravasi was led to rest on 6th November 2020. He was the Emeritus Bishop of Marsabit Diocese. This Video was produced by Radio Jangwani / Baragumu ya Faraja.