Author: Isaac Waihenya

Jumla ya mifugo 224,000 wameangamia kutokana na makali ya ukame katika kaunti ya Marsabit tangu mwaka wa 2021.

Na Grace Gumato, Jumla ya mifugo 224,000 wameangamia kutokana na makali ya ukame katika kaunti ya Marsabit tangu mwaka wa 2021. Kwa mijibu wa Henry Mustafa ambaye ni mkurungezi wa mamlaka ya kukabiliana na majanga kaunti Marsabit NDMA, Kondoo na mbuzi 30,000 wameweza kuangamia katika kaunti ndogo ya Noth Horr.[Read More…]

Read More

Muungano wa wahubiri wa kanisa la PEFA Marsabit wawataka wakaazi kushirikiana na serikali ya kaunti ili kutafuta njia mwafaka ya kusuluhisha migogoro ya mara kwa mara.

Na Irene Wamunda, Muungano wa wahubiri wa kanisa la PEFA hapa Marsabit wamewataka wakaazi wa Marsabit kushirikiana na serikali ya kaunti ili kutafuta njia mwafaka ya kusuluhisha migogoro ya mara kwa mara baina ya jamii zinazoishi katika kaunti hii. Wakizungumza na wanahabari kule Kanisani PEFA, Wahubiri hao wamekashifu vikali visa[Read More…]

Read More

Mikakati ya kuhakikisha Amani na usalama wakati wa uchaguzi imewekwa. – Waziri Matiangi.

Na Isaac Waihenya Waziri wa Usalama nchini Daktari Fred Matiangi amewahakikishia washirika wa maendeleo hapa Nchini kuwa mikakati ya kuhakikisha Amani na usalama wakati wa uchaguzi imewekwa. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri Matiangi amesema kuwa mipango ya kuhakikisha usalama wakati wa kampeni za uchaguzi, siku ya uchaguzi na baada[Read More…]

Read More

Kaunti ya Marsabit imeongezewa kauti ndogo 4 zaidi na kuifainya kuwa na jumla ya kaunti ndogo kuwa 13.

Na Isaac Waihenya, Kaunti ya Marsabit imeongezewa kauti ndogo 4 zaidi na kuifainya kuwa na jumla ya kaunti ndogo kuwa 13. Kupitia gazeti rasmi la serekali, wizara ya usalama wa ndani imeziongeza kaunti ndogo za Korr makao yake makuu yakiwa ni Korr, Sagante/Jaldesa, Uran  na  kaunti ndogo ya Golbo ambayo  makao[Read More…]

Read More

Wanasiasa hawataruhusiwa kuendesha shughuli zozote shuleni wakati huu wa mtihani wa kitaifa.- Waziri Magoha

Na Silvio Nangori, Kwa mara nyingine tena waziri wa Elimu Profesa George Magoha amesisitiza kwamba hakutakuwepo na wanasiasa watakaoruhusiwa kuendesha shughuli zozote shuleni wakati huu wa mitihani wa kitaifa. Magoha amewahakikishia walimu na wanafunzi kwamba usalama umeimarishwa katika maeneo ya mitihani ili kuhakikisha kwamba shughuli zote zinazofanyika bila tashwishi yoyote.[Read More…]

Read More

Majambazi waliojihami kwa bunduki wasambaratisha shughuli za w KCPE katika eneo la Kapkusum,Muchongoi kaunti ya Baringo.

Na Isaac Waihenya Shughuli za watahiniwa kufanya mtihani wa darasa la nane KCPE zimesambaratika leo mchana katika eneo la Kapkusum,Muchongoi kaunti ya Baringo baada ya majambazi waliojihami kwa bunduki kuingia katika eneo hilo. Watahiniwa wa KCPE katika shule za msingi za Kapchekir na Karne huko Baringo walitoroka shuleni pamoja na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter