Author: Isaac Waihenya

Zoezi la kukagua shule zote za msingi za umaa na kibinafsi limeongoa nanga hii leo katika kaunti ya Marsabit.

Na Isaac Waihenya, Zoezi la kukagua shule zote za msingi za umaa na kibinafsi limeongoa nanga hii leo katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa zoezi hilo ambalo linatarajiwa kuendelea hadi tarehe 20 mwezi huu[Read More…]

Read More

Wajukumisheni watoto katika shughuli za nyumbani ili kuwaepusha kujiingiza katia uovu. – Viongozi wa kidini wawarai wazazi.

By Isaac Waihenya, Wazazi wametakiwa kuwajukumisha watoto wao katika shughuli za nyumbani ili kuwaepusha kujiingiza katia uovu haswa wakiti huu wa msimu wa likizo ya Disemba. Kwa mujibu wa viongozi wa kidini jimboni ni kuwa ni jukumu la wazazi kuhakikisha kwamba watoto wao wamo salama wakti huu wa likizo. Wakiongozwa[Read More…]

Read More

Wakaazi wa lokesheni ya Tigo eneo bunge la North Horr watoa wito kwa serikali kuwajengea shule ya msingi.

Na Samwel Kosgei, wa lokesheni ya Tigo eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit, wametoa wito kwa serikali kupitia viongozi wao kuwajengea shule ya msingi katika eneo hilo. Wakaazi hao kwa masikitiko wameambia Shajara Ya Jangwani kuwa ukosefu wa shule ya msingi ya umma umewaathiri wanafunzi wengi kwani baadhi[Read More…]

Read More

Serikali yaanzisha kituo cha polisi cha kuzima ghasia eneo la Kambiye kaunti ya Marsabit.

Na Samuel Kosgei, Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amepongeza serikali ya kitaifa kwa kuchukua hatua ya haraka na kutuma askari wa kitengo kurejesha amani kwa kasi (RDU) katika lokesheni ya Kambinye eneobunge la Laisamis. Akizungumza alipowatambulisha askari hao katika Manyatta hiyo ya Kambinye, Lekuton amesema ujio wa askari hao wa[Read More…]

Read More

Viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wawataka wananchi kuwachagua viongozi wacha Mungu.

Na Samuel Kosgei. Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich ameihakikishia umma kuwa kura ya uchaguzi mkuu hapa Marsabit utafanyika kwa njia ya utulivu na Amani. Akizungumza katika uwanja wa Marsabit wakti wa maombi kwa ajili ya jimbo, Rotich alisema kuwa wao kama serikali wameimarisha usalama na maafisa wao watazidi[Read More…]

Read More

Gavana wa Marsabit Mohamud Ali asema jamii ya Borana imeridhia kuwaachia jamii zingine baadhi ya viti katika kaunti.

Na Isaac Waihenya, Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ametangaza kuwa jamii ya Borana kwa kauli mmoja imekubaliana kuachia nafasi zingine za uongozi kwa jamii zingine na kuwania nafasi ya Ugavana pekee. Gavana Ali amesema kuwa jamii hiyo itafanaya kazi na jamii zingine katika kaunti hii na kuzipa nafasi ya kuwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter