Author: Editor

Chris Obure apata pigo Mahakani.

Na Waihenya Isaac MAHAKANI BY WAIHENYA 4PM………………. Mshukiwa kwenye mauaji ya Kevin Omwenga,Chris Obure amepata pigo baada ya mahakama kutupilia mbali  ombi lake la kutaka kufanywa kuwa shahidi badala ya kuwa mshukiwa kwenye mauji hayo. Akitoa uamuzi kwenye kesi hiyo Jaji Mumbi Ngugi ameamuru kuwa ombi la mshukiwa huyo halina[Read More…]

Read More

Na Adho Isacko Kamishna wa kaunti ya Marsabit Evans Achoki amesema kuwa Uchunguzi umeanzishwa ya kuwakamata wahalifu waliowaua watu wawili siku ya jumatano 27-5-2020 katika eneo la Gof Choba. Achoki amelaani kitendo hicho akidai kuwa kuna malisho ya kutosha kwa sasa na hivyo hakuna haja ya wafugaji kupigania malisho kwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter