Wizara ya afya Marsabit ndio iliyotengewa mgao mkubwa, Zaidi ya 30% kwenye makadirio wa kifedha 2025/26
June 20, 2025
http://https://www.youtube.com/watch?v=wFV2KoE1GSw The late Bishop Ravasi was led to rest on 6th November 2020. He was the Emeritus Bishop of Marsabit Diocese. This Video was produced by Radio Jangwani / Baragumu ya Faraja.
Na Samuel Kosgei Kamati ya bunge kuhusu fedha katika bunge la kaunti ya Marsabit imesema iko mbioni kwa sasa kukamilisha mchakato wa bajeti ili kuwasilishwa bungeni kujadiliwa na kupitishwa. Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni MCA wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot amesema kuwa mchakato huo kwa sasa upo katika hatua[Read More…]
Na Henry Khoyan, Msemaji wa serikali katika kaunti ya Marsabit, Abdub Barille, ametangaza kwamba vijana waliokuwa wameajiriwa kama wanafunzi wa nyanjani (interns) huenda watalipwa marupurupu yao wiki ijayo. Barille amesisitiza dhamira ya serikali ya kaunti kuhakikisha kuwa haki ya vijana inaheshimiwa na kwamba malipo yao yanatolewa bila kuchelewa. Katika taarifa[Read More…]
NA ABRAHAM WAWERU Wachezaji wa mchezo wa raga katika shule za upili kaunti ya Marsabit wamehimizwa kutia bidii katika mazoezi yao ili kuhakikisha matokeo bora katika michuano ya kaunti ndogo. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani nahodha wa timu ya raga kutoka shule ya upili ya ACK St. Peters Dima[Read More…]
Na Carol Waforo Mwanaume mmoja ameuawa na ndovu mapema leo Alhamisi katika eneo la Karare eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit. Haya yamethibitishwa na mkurungenzi msaidizi wa shirika la huduma za wanyamapori KWS ukanda wa kaskazini mashariki Bakari Chongwa ambaye amezungumza na Shajara ya Radio Jangwani. Kulingana na Chongwa[Read More…]
Na Joseph Muchai Wanaolengwa katika mpango wa kitaifa wa Inua Jamii watalazimika kusubiri kauli ya serikali ili kujua wakati wa kujisajili katika mpango huo. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia simu mratibu wa huduma za umma katika kaunti ya Marsabit Vincent Musee Ndindi amesema kuwa kwa sasa serikilai[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa vijana nchini kusima kidete na kutetea haki zao kwa mujibu wa katiba ya nchi. Ni wito ambao umetolewa na mshirikishi wa shirika la Initiative for Progressive Change IFPC katika kaunti ya Marsabit Hassan Mulata. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee, Mulata amewataka[Read More…]
Na Sabalua Moses Kufuatia serikali kutaka kuweka CCTV katika vituo vyote humu nchini wakazi mjini Marsabit wametoa hisia mseto kuhusiana na matamshi yake waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen. Haya yanajiri baada ya kifo cha aliyekuwa bloga Albert ojwang kuleta utatanishi na kuibua maswali katika idara ya polisi katika utendakazi wao huku[Read More…]
Na Muchai Joseph, David Lesas mwalimu katika eneo la Loiyang’alani amekana madai ya kulazwa hospitali baada ya kupigwa kitutu na polisi wakati wa ghasia zilizoshuhudiwa hivi maajuzi katika eneo la Loiyanganani. Akizungumza na kituo hiki kwa njia ya kipee Mwalimu Lesas amesema kuwa zilikuwa habari za kupotosha ambazo zilisambambazwa na[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Sadam Abdullah amechanguliwa kama spika wa bunge la vijana wa Moyale maarufu Moyale Youth Assembly. Akizungumza baada ya kushinda uchaguzi huo Abdullah amewapongeza vijana wa Moyale kwa kuwa na Imani naye kuliongoza bunge hilo huku akiahidi kihakikisha kwamba changamoto zinazowakumba sio tu vijana wa Moyale bali pia[Read More…]
Na Caroline Waforo, Viongozi mbalimbali katika kaunti ya Marsabit wamekemea mauaji ya mfanyibiashara mmoja wa miraa aliyewawa kwa kudungwa kisu hapo jana mjini Marsabit. Viongozi hao wamezungumza wakati wa maandamano ya baadhi ya wafanyibiashara kulalamikia mauaji hayo. Wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya usalama katika bunge la kaunti ya Marsabit[Read More…]